HARUSI SI NDOA
Wapendwa katika Kristo, Bwana asifiwe? ninapenda kumshukuru Mungu kwa wema wake na upendo wake kwangu. Baada ya Mungu kunitetea mwaka 2012 na mauti nilimshukuru Mungu kule arusha chuoni na shukrani yangu iliambatana na album yangu ya Mungu wa nguvu. Mpendwa katika Kristo, Mungu amenipa neema tena ya kuandaa ulbum nyingine iliyobeba jumbe mbili, HARUSI SI NDOA na NIMEUONA MKONO WAKO.Ndani ya mwaka huu mwishon na mwanzoni mwa mwaka ujao niwe nimeiachia vidio yake kwa jina la YESU KRISTO WANAZARETHI ambayo itagharimu si chini ya milioni sita. sina chochote ila namwamini Mungu.Kabla ya mwezi wa sita AUDIO itakuwa tayari nayo ninamwamini Mungu pia. Nimaombi yangu kuwa Mungu akutie nguvu uombe pamoja nami ili Mungu anipe kibali kuhubiri kwa njia ya uimbaji mwaka huu mpya. Mungu akubariki.
No comments:
Post a Comment