Thursday, March 20, 2014

Check out Joshua's photos on Facebook.

facebook
Check out Joshua's photos on Facebook.
If you sign up for Facebook, you'll be able to stay connected with friends by seeing their photos and videos, staying up to date with their latest status updates, exchanging messages and more.
Join Joshua on Facebook
This message was sent to joshuanyaulingo.mine@blogger.com. If you don't want to receive these emails from Facebook in the future or have your email address used for friend suggestions, please unsubscribe.
Facebook, Inc., Attention: Department 415, PO Box 10005, Palo Alto, CA 94303

Tuesday, March 18, 2014

HARUSI SI NDOA

Wapendwa katika Kristo, Bwana asifiwe? ninapenda kumshukuru Mungu kwa wema wake na upendo wake kwangu. Baada ya Mungu kunitetea mwaka 2012 na mauti nilimshukuru Mungu kule arusha chuoni na shukrani yangu iliambatana na album yangu ya Mungu wa nguvu. Mpendwa katika Kristo, Mungu amenipa neema  tena ya kuandaa ulbum nyingine iliyobeba jumbe mbili, HARUSI SI NDOA na NIMEUONA MKONO WAKO.Ndani ya mwaka huu mwishon na mwanzoni mwa mwaka ujao niwe nimeiachia vidio yake kwa jina la YESU KRISTO WANAZARETHI ambayo itagharimu si chini ya milioni sita. sina chochote ila namwamini Mungu.Kabla ya mwezi wa sita AUDIO itakuwa tayari nayo ninamwamini Mungu pia.  Nimaombi yangu kuwa Mungu akutie nguvu uombe pamoja nami ili Mungu anipe kibali kuhubiri kwa njia ya uimbaji mwaka huu mpya. Mungu akubariki.